For Android: 4.4 and up | Guide: Herufi na Akili – Akili and Me cheats tutorial |
When updated: 2021-10-17 | Star Rating: 0 |
Name: Herufi na Akili – Akili and Me hack for android | Extension: Apk |
Author: Ubongo | File Name: com.herufi.ubongo.sw |
Current Version: 1.0.0 | User Rating: Everyone |
Downloads: 50-55 | Version: mod, apk, unlock |
System: Android | Type: Education |
Watch Herufi na Akili! Jifunze herufi na alfabeti na katuni za Kiswahili video.
Watch Alfabeti na Herufi kwa Kiswahili na Kiingereza (Part 1) | LEARN THE SWAHILI ALPHABET! | Akili and Me video.
Watch Jifunze Herufi na Akili video.
Watch Akili and Me - Kiswahili video.
Watch A ni kwa Akili! - Jifunze Herufi - SWAHILI ALPHABET & LETTER SOUNDS! video.
Watch Tuhesabu na Akili! | Akili and Me Katuni za Elimu Burudani | LEARN SWAHILI! video.
Watch Akili anapenda Herufi Sh! | Soma Alfabeti na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto video.
Watch Pangilia Herufi na Akili | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto video.
Watch Jifunze Herufi Sh! | Soma Alfabeti na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto video.
Watch Herufi Ch Anapanda Mlima! | Jifunze Alfabeti na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto video.
Sasa shule zimeanza rasmi. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu? App yetu ya “Herufi na Akili” itampatia mwanao msingi imara wa Elimu! Apk hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Mini game #1 ya Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store! “Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. Apk hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya! Mtoto wako atafurahia ELIMU na apk hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya “Akili and Me.”! Mwanao atajifunza na Satisfied Hippo, Bush Baby na Tiny Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu! Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Children”, wameitengeneza apk hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako: FAIDA - Atambue sauti za herufi. - Afananishe herufi. - Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe. - Acheze kwa uhuru. - Apende kujifunza. VILIVYOMO - Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya. - Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto. - Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6. - Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu. - Ni BURE kabisa. Hakuna gharama zozote. - Inafanya kazi BILA MTANDAO. Ubunifu wa “Herufi na Akili” ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa apk hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja. Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake! Wangoja nini? Ipakue sasa BURE! KIINGEREZA - AKILI'S ALPHABET Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya apk hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza. "Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja. KUHUSU “AKILI AND ME” “Akili and Me” ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji wa “Ubongo Children” na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika. Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili. Njoo ufurahi na Tiny Lion, Satisfied Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (Tanzania), na Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (Kenya). KUHUSU UBONGO Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzania inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vya mtandaoni kuwafikia popote pale walipo. Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya “Ubongo Children” na “Akili and Me” vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika. ONGEA NASI Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia [email protected]. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.
Share you own hack tricks, advices and fixes. Write review for each tested game or app. Great mobility, fast server and no viruses. Each user like you can easily improve this page and make it more friendly for other visitors. Leave small help for rest of app' users. Go ahead and simply share funny tricks, rate stuff or just describe the way to get the advantage. Thanks!
Welcome on the best website for android users. If you love mobile apps and games, this is the best place for you. Discover cheat codes, hacks, tricks and tips for applications.
The largest android library
We share only legal and safe hints and tricks. There is no surveys, no payments and no download. Forget about scam, annoying offers or lockers. All is free & clean!
No hack tools or cheat engines
Reviews and Recent Comments:
Tags:
Herufi na Akili – Akili and Me cheats onlineHack Herufi na Akili – Akili and Me
Cheat Herufi na Akili – Akili and Me
Herufi na Akili – Akili and Me Hack download